Swali: Ikitubainikia kuwa kuna mtu amemfanyia uchawi mtu mwengine ni vipi tutabatilisha kitendo chake katika Shari´ah?
Jibu: Kutumia uchawi ni haramu bali ni kufuru kubwa. Haijuzu kutumia uchawi ili kuzingua uchawi mwingine. Lakini aliyefanyiwa uchawi anatibiwa kwa Ruqyah na du´aa za Kishari´ah zilizothibiti katika Qur-aan na katika Sunnah.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (1/377)
- Imechapishwa: 24/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket