Inafaa kusimama ijapo kuketi chini ndio bora zaidi

Swali: Alisema (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kumwambia Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ´anh):

“Keti chini.” [wakati wa kunywa]

Jibu: Ni dalili inayojulisha kuwa kunywa kwa kuketi chini ndio bora zaidi, kama tulivyotangulia kusema.

Swali: Ambaye anakunywa kwa kusimama ameenda kinyume na lililo bora?

Jibu: Inafaa. Hata hivyo kwa kuketi chini ndio bora zaidi.

Swali: Ameipokea al-Bukhaariy au Muslim?

Jibu: Mtunzi ameliegemeza kwa al-Bukhaariy.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22239/ما-حكم-الشرب-جالسا-وقاىما
  • Imechapishwa: 15/01/2023