Inafaa kukimbia ili kuwahi ile Rak´ah ya mwisho?

Swali: Baadhi ya wanazuoni wanasema kuwa asikimbie isipokuwa katika Rak´ah mwisho?

Jibu: Hili ni kosa. Mtume (Swalla Allaahu ´alayh wa sallam) amesema:

“Tembeeni kwa utulivu; kile mlichowahi kiswalini na kile kilichokupiteni kikamilsheni.”

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23759/حكم-الركض-لادراك-الركعة
  • Imechapishwa: 20/04/2024