01 – Wanandoa wote wawili kumcha Allaah

Wanandoa wote wakimcha Allaah basi mambo yanakuwa mepesi. Kumcha Allaah ndio kichwa cha mambo yote:

يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اتَّقُوا اللَّـهَ وَذَرُوا مَا بَقِيَ مِنَ الرِّبَا إِن كُنتُم مُّؤْمِنِينَ

 “Enyi walioamini! Mcheni Allaah na acheni yaliyobakia katika ribaa ikiwa kweli nyinyi ni waumini.”[1]

[1] 02:278

  • Mhusika: Shaykh Jamaal bin Furahyaan al-Haarithiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Twalaaq – asbaabuhu wa ´ilaajuh, uk. 41
  • Imechapishwa: 20/04/2024