Swali: Je, pindi mtu anapozungumzia kiongozi pekee ndiye anayetakiwa kutekeleza adhabu ni yule imamu wa msikiti?

Jibu: Ni nani aliyesema haya? Ni kiongozi wa jumla, kiongozi wa waislamu, ndiye ambaye anatekeleza adhabu za kidini. Kila imamu wa msikiti anatekeleza adhabu?

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (45)
  • Imechapishwa: 19/07/2024