Swali: Je, inafaa kwa imamu kusoma kisomo ambacho waswaliji wa msikitini hawakitambui?
Jibu: Hapana. al-Lajnah ad-Daaimah wametoa fatwa juu ya hilo; ya kwamba haijuzu kwa imamu kusoma kisomo kisichokuwa kisichokuwa cha watu wa mji, kwa sababu anawashawishi.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (39)
- Imechapishwa: 02/06/2023