Swali: Unaonaje kuhusu mtu anayewaongoza watu katika swalah na imebainika kuwa anavuta shisha?
Jibu: Aondolewe na abadilishwe kwa mtu mwema. Swalah ni sahihi, lakini inapaswa abadilishwe na mtu mwema ikiwa itapatikana uwezo. Ama ikiwa watu wote wa kijiji wanavuta, basi hapana tofauti katika hilo.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1322/حكم-الصلاة-خلف-من-يدخن-الشيشة
- Imechapishwa: 21/06/2026
Swali: Unaonaje kuhusu mtu anayewaongoza watu katika swalah na imebainika kuwa anavuta shisha?
Jibu: Aondolewe na abadilishwe kwa mtu mwema. Swalah ni sahihi, lakini inapaswa abadilishwe na mtu mwema ikiwa itapatikana uwezo. Ama ikiwa watu wote wa kijiji wanavuta, basi hapana tofauti katika hilo.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1322/حكم-الصلاة-خلف-من-يدخن-الشيشة
Imechapishwa: 21/06/2026
https://firqatunnajia.com/imamu-anavuta-shisha/