Swali: Je, ardhi huitwaharisha nguo ya mwanamke na kiatu cha muislamu?
Jibu: Ndio, ikiwa nguo yake imepatwa na najisi au pindo lake limepatwa na najisi au kiatu, kisha akapita juu ya ardhi safi, basi vinatwaharika. Avisugue katika ardhi safi, kufanya hivo inatosha.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1324/كيفية-تطهير-ذيل-ثوب-المراة-والنعل
- Imechapishwa: 21/06/2026
Swali: Je, ardhi huitwaharisha nguo ya mwanamke na kiatu cha muislamu?
Jibu: Ndio, ikiwa nguo yake imepatwa na najisi au pindo lake limepatwa na najisi au kiatu, kisha akapita juu ya ardhi safi, basi vinatwaharika. Avisugue katika ardhi safi, kufanya hivo inatosha.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1324/كيفية-تطهير-ذيل-ثوب-المراة-والنعل
Imechapishwa: 21/06/2026
https://firqatunnajia.com/namna-mwanamke-anavyoisafisha-nguo-yake-inayogusa-ardhi/