Imamu anamswalia maiti kabla ya swalah ya ´Aswr

Swali: Imamu haoni kufaa kuswalia jeneza baada ya ´Aswr na hivyo anaanza kuswalia jeneza kabla ya swalah ya faradhi.

Jibu: Hapana vibaya kumswalia, kwa sababu ni miongoni mwa swalah zenye sababu.

Swali: Je, akemewe?

Jibu: Hapana, aswaliwe baada ya swalah [ya faradhi]. Afunzwe Sunnah.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23683/ما-حكم-الصلاة-على-الجنازة-بعد-العصر
  • Imechapishwa: 30/03/2024