Imamu amsubiri aliyeingia ili awahi Rak´ah?

Swali: Baadhi ya maimamu wanamsubiri anayeingia ili awahi Rak´ah na baadhi ya wengine wanasema kuwa haikusuniwa kusubiri. Ni yepi ya sawa?

Jibu: Usawa ni kumsubiri kidogo anayeingia ili awahi Rak´ah kwa ajili ya kumwigiliza Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (11/247)
  • Imechapishwa: 30/10/2021