Swali: Kuna kigezo kipi katika kurefusha na kufupisha swalah ya Tarawiyh na kisimamo cha usiku?
Jibu: Sunnah kwa imamu ni yeye asiwatie uzito watu na wala asiwadhuru. Imamu ajitahidi na achunge Sunnah. Kwa maana nyingine asiwatie uzito katika kisomo, Rukuu´ na Sujuud yake. Achunge na ajitahidi.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/audios/794/فتاوى-رمضانية
- Imechapishwa: 01/04/2023