Ibn Baaz Kuhusu Majina Kama Muhy-id-Diyn

Swali: Vipi kuhusu kuitwa kwa jina la Muhy-id-Diyn inazingatiwa kuwa ni kujitakasa nafsi au ni jambo lisilokuwa na neno?

Jibu: Kuacha kuitwa hivo ni bora zaidi. Vinginevyo watu wengi wamelitumia. Mmoja wao ni an-Nawawiy ambaye ni Muhy-id-Diyn kwa kuwa amelingania katika dini ya Allaah na akawaelekeza watu. Kwa ajili hiyo ndio maana ameitwa Muhy-id-Diyn (muhuisha dini) kwa sababu hii.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Kashf-ish-Shubuhaat, uk. 28
  • Imechapishwa: 04/11/2016