Swali: Ulisema katika fatwa iliyotangulia[1]:
“Mwanafunzi akipewa mtihani na akawa analazimika kuchora basi achore mnyama asiyekuwa na kichwa.”
Lakini mwalimu anaweza kumfelisha mwanafunzi ikiwa hatochora kichwa. Afanye nini katika hali hiyo?
Jibu: Mambo yakiwa hivi basi mwanafunzi atakuwa amelazimishwa jambo hili na dhambi zinakuwa juu ya yule aliyemlazimisha na kumtenza nguvu. Lakini mimi nawaomba wahusika wasilikuze jambo mpaka katika hiyo ngazi na wakawalazimisha waja wa Allaah katika kumuasi Allaah.
[1] Tazama https://firqatunnajia.com/masomo-yanawataka-wanafunzi-wachore-viumbe-vyenye-roho/
- Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (02/274)
- Imechapishwa: 02/07/2017
Swali: Ulisema katika fatwa iliyotangulia[1]:
“Mwanafunzi akipewa mtihani na akawa analazimika kuchora basi achore mnyama asiyekuwa na kichwa.”
Lakini mwalimu anaweza kumfelisha mwanafunzi ikiwa hatochora kichwa. Afanye nini katika hali hiyo?
Jibu: Mambo yakiwa hivi basi mwanafunzi atakuwa amelazimishwa jambo hili na dhambi zinakuwa juu ya yule aliyemlazimisha na kumtenza nguvu. Lakini mimi nawaomba wahusika wasilikuze jambo mpaka katika hiyo ngazi na wakawalazimisha waja wa Allaah katika kumuasi Allaah.
[1] Tazama https://firqatunnajia.com/masomo-yanawataka-wanafunzi-wachore-viumbe-vyenye-roho/
Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (02/274)
Imechapishwa: 02/07/2017
https://firqatunnajia.com/ima-mwanafunzi-achore-au-afelishwe-mtihani/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)