Swali: Wakati Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alipowaswalisha Mitume (Swalla Allaahu ´alayhim wa sallam) hali ya kuwa yeye ndiye imamu Yerusalemu Allaah alikuwa amewafufua au ilikuwa ni roho zao?
Jibu: Allaah ndiye anajua zaidi. Muhimu ni kuwa sisi tunaamini hili kama alivyoeleza Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Hatuingii ndani ya maswali haya ilihali hatujui. Tunathibitisha yale aliyothibitisha Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na wala hatuingii ndani ya mambo haya. Allaah ni muweza juu ya kila kitu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Furqaan (03) http://alfawzan.af.org.sa/node/2046
- Imechapishwa: 23/10/2016
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)