Swali: Ili iwe ni wajibu kuitikia mwaliko wa karamu ya ndoa, baadhi ya wanazuoni wameshurutisha mwalikaji awe muislamu. Je, sharti hii ni yenye kuzingatiwa?
Jibu: Ndio. Akiwa ni kafiri hana haki yoyote juu yako.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (41)
- Imechapishwa: 05/10/2023