Mwendo mrefu kwa ajili ya kwenda harusini

Swali: Je, ni udhuru sahihi wa kutoitikia mwaliko wa karamu ya ndoa katika mji mkubwa, kama vile ar-Riyaadh, kwa sababu wakati mwingine inaweza kuchukua saa nzima kwenda na saa nyingine kwa ajili ya kurudi kutokana na msongamano wa magari?

Jibu: Ikiwa kuna uzito ni udhuru sahihi. Ikiwa kuna ugumu au khatari njiani, yanazingatiwa kuwa ni udhuru sahihi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (41)
  • Imechapishwa: 05/10/2023