Swali: Nimenuia mkusanyiko wa kuchelewesha nitapofika Makkah. Nimefika wakati wa swalah ya pili. Nifanye nini?
Jibu: Ingia nao katika swalah ya ´Ishaa na wewe uweke nia ya Maghrib. Ukiingia katika Rak´ah ya kwanza pale ambapo imamu atasimama katika Rak´ah ya nne, wewe huwezi kumfuata. Katika hali hii ufanye nini? Ikaa chini na usome Tashahhud na utoe salamu na halafu uingie pamoja na Imamu katika yaliyobakia katika swalah ya ´Ishaa. Ukiingia na Imamu katika Rak´ah ya pili, toa salamu pamoja naye. Ukiingia naye katika Rak´ah ya tatu, baada ya salamu utaswali Rak´ah moja. Ukiingia naye katika Rak´ah ya nne, baada ya yeye kutoa salamu utaswali Rak´ah mbili. Hii ndio kauli sahihi zaidi iliyosemwa juu ya masuala haya na vilevile ndio chaguo la Shaykh-ul-Islaam Ibn Taymiyyah.
- Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kanda “Liqaa´aatu Ramadhwaaniyyah”, sehemu ya 03
- Imechapishwa: 23/09/2020
Swali: Nimenuia mkusanyiko wa kuchelewesha nitapofika Makkah. Nimefika wakati wa swalah ya pili. Nifanye nini?
Jibu: Ingia nao katika swalah ya ´Ishaa na wewe uweke nia ya Maghrib. Ukiingia katika Rak´ah ya kwanza pale ambapo imamu atasimama katika Rak´ah ya nne, wewe huwezi kumfuata. Katika hali hii ufanye nini? Ikaa chini na usome Tashahhud na utoe salamu na halafu uingie pamoja na Imamu katika yaliyobakia katika swalah ya ´Ishaa. Ukiingia na Imamu katika Rak´ah ya pili, toa salamu pamoja naye. Ukiingia naye katika Rak´ah ya tatu, baada ya salamu utaswali Rak´ah moja. Ukiingia naye katika Rak´ah ya nne, baada ya yeye kutoa salamu utaswali Rak´ah mbili. Hii ndio kauli sahihi zaidi iliyosemwa juu ya masuala haya na vilevile ndio chaguo la Shaykh-ul-Islaam Ibn Taymiyyah.
Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kanda “Liqaa´aatu Ramadhwaaniyyah”, sehemu ya 03
Imechapishwa: 23/09/2020
https://firqatunnajia.com/ibn-uthaymiyn-msafiri-kuswali-maghrib-nyuma-ya-mkazi-anayeswali-ishaa/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)