Wanachuoni wamesema lau mtu atawaambia watu wawili “Nitazamieni kama alfajiri imeshaingia”. Mmoja wao akasema imeshaingia na mwingine akasema haijaingia, wamesema achukue maoni ya huyu wa pili. Kwa kuwa msingi ni kutoingia alfajiri na vilevile ni lazima alfajiri ibainike.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kanda “Liqaa´aatu Ramadhwaaniyyah”, sehemu ya 01
- Imechapishwa: 23/09/2020
Wanachuoni wamesema lau mtu atawaambia watu wawili “Nitazamieni kama alfajiri imeshaingia”. Mmoja wao akasema imeshaingia na mwingine akasema haijaingia, wamesema achukue maoni ya huyu wa pili. Kwa kuwa msingi ni kutoingia alfajiri na vilevile ni lazima alfajiri ibainike.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kanda “Liqaa´aatu Ramadhwaaniyyah”, sehemu ya 01
Imechapishwa: 23/09/2020
https://firqatunnajia.com/wafungaji-kutofautiana-katika-kubainika-kwa-alfajiri/