Swali: Yapi maoni yako kusambaza kanda/kaseti ambazo wanafunzi wanafanyiana Rudduud wao kwa wao?
Jibu: Naona kuwa kanda ambazo zinahusiana na kurusha na mwingine anarudisha ambazo uhakika wa mambo ukizingatia utaona kuwa msingi wake ni magomvi tu, naona kuwa zisisambazwe. Kwa kuwa zinapelekea kuwadangana wasikilizaji na kuwagawa kwenye makundi. Ama ikiwa ni Radd ambayo ni lazima, kwa mfano mtu ambaye anasambaza upotofu wake katika kaseti na hakuna budi ila kubainisha, hii ni lazima kuisambaza. Lazima Radd hiyo isambazwe. Mtu atalijua hilo huwa akijua kwa viashirio kama kile kinachosambazwa baina ya watu ni ugomvi tu au kama [lengo] ni kubainisha haki. Ikiwa lengo ni kubainisha haki basi ni lazima zisambazwe, na kama ni ugomvi tu zisisambazwe. Kwa kuwa watu kwa hakika wako na haja kubwa ya kitu kitachowafanya kuwa wamoja na si kitu kitachowafarakisha. Na kama mnavyojua wenyewe vijana hawaelewi mambo kama inavyowapasa. Huenda akadanganyika mmoja wao na hili na mwingine na lile. Hatimaye kukatokea fitina.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Liqaa’ al-Baab al-Maftuuh (60 A)
- Imechapishwa: 02/09/2018
Swali: Yapi maoni yako kusambaza kanda/kaseti ambazo wanafunzi wanafanyiana Rudduud wao kwa wao?
Jibu: Naona kuwa kanda ambazo zinahusiana na kurusha na mwingine anarudisha ambazo uhakika wa mambo ukizingatia utaona kuwa msingi wake ni magomvi tu, naona kuwa zisisambazwe. Kwa kuwa zinapelekea kuwadangana wasikilizaji na kuwagawa kwenye makundi. Ama ikiwa ni Radd ambayo ni lazima, kwa mfano mtu ambaye anasambaza upotofu wake katika kaseti na hakuna budi ila kubainisha, hii ni lazima kuisambaza. Lazima Radd hiyo isambazwe. Mtu atalijua hilo huwa akijua kwa viashirio kama kile kinachosambazwa baina ya watu ni ugomvi tu au kama [lengo] ni kubainisha haki. Ikiwa lengo ni kubainisha haki basi ni lazima zisambazwe, na kama ni ugomvi tu zisisambazwe. Kwa kuwa watu kwa hakika wako na haja kubwa ya kitu kitachowafanya kuwa wamoja na si kitu kitachowafarakisha. Na kama mnavyojua wenyewe vijana hawaelewi mambo kama inavyowapasa. Huenda akadanganyika mmoja wao na hili na mwingine na lile. Hatimaye kukatokea fitina.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Liqaa’ al-Baab al-Maftuuh (60 A)
Imechapishwa: 02/09/2018
https://firqatunnajia.com/ibn-uthaymiyn-kuhusiana-na-kanda-ambazo-wanafunzi-wanachapana-wao-kwa-wao/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)