Swali: Kuna baadhi ya wasomeaji wanawasomea watu kwa njia ya simu, vipaza sauti na kanda. Je, hilo linajuzu?
Jibu: Yote haya hayana asli. Njia iliyowekwa ni kumuweka mgonjwa mbele yako na kumsomea.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://subulsalam.com/play.php?catsmktba=14579
- Imechapishwa: 05/05/2015
Swali: Kuna baadhi ya wasomeaji wanawasomea watu kwa njia ya simu, vipaza sauti na kanda. Je, hilo linajuzu?
Jibu: Yote haya hayana asli. Njia iliyowekwa ni kumuweka mgonjwa mbele yako na kumsomea.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://subulsalam.com/play.php?catsmktba=14579
Imechapishwa: 05/05/2015
https://firqatunnajia.com/ibn-baaz-vipaza-sauti-wakati-wa-ruqyah/