Ibn Baaz kuhusu ni lini unaanza kuhesabiwa muda wa kupangusa juu ya soksi

Swali: Mtu ambaye alivaa soksi baada ya kuswali ´Aswr, kisha akapatwa na hadathi baada ya ´Isha na akapangusa mara ya kwanza Fajr.

Jibu: Ataanza kuhesabu muda wa kupangusa kuanzia Fajr.

Swali: Kwa hivyo ataanza kuhesabu kuanzia Fajr.

Jibu: Ndio, muda wake unaanza kuhesabiwa kuanzia Fajr.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24860/متى-يبدا-وقت-المسح-على-الخفين
  • Imechapishwa: 02/01/2025