Maeneo manne ambayo inanyanyuliwa mikono ndani ya swalah

Swali: Je, inahitajika kunyanyua mikono wakati wa Takbiyr zote?

Jibu:

1 – Wakati wa kuanza swalah.

2 – Wakati wa Rukuu´.

3 – Wakati wa kuinuka kutoka kwenye Rukuu´.

4 – Wakati wa kuinuka kutoka kwenye Tashahhud ya kwanza.

Katika maeneo haya manne.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24845/ما-مواضع-رفع-اليدين-في-تكبيرات-الصلاة
  • Imechapishwa: 02/01/2025