Swali: Ni ipi hukumu ya Uislamu kuhusu kuvaa viatu vya visigino virefu?
Jibu: Dogo liwezalo kusemwa ni kuchukiza, kwa sababu zifuatazo:
1 – Vinamuonyesha mwanamke kuwa ni mrefu ilihali sio mrefu.
2 – Vinamtia katika khatari mwanamke kuanguka.
3 – Vina madhara kwa afya, kama walivyothibitisha hivo madaktari.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1879/حكم-لبس-الكعب-العالي
- Imechapishwa: 10/10/2024
Swali: Ni ipi hukumu ya Uislamu kuhusu kuvaa viatu vya visigino virefu?
Jibu: Dogo liwezalo kusemwa ni kuchukiza, kwa sababu zifuatazo:
1 – Vinamuonyesha mwanamke kuwa ni mrefu ilihali sio mrefu.
2 – Vinamtia katika khatari mwanamke kuanguka.
3 – Vina madhara kwa afya, kama walivyothibitisha hivo madaktari.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1879/حكم-لبس-الكعب-العالي
Imechapishwa: 10/10/2024
https://firqatunnajia.com/ibn-baaz-kuhusu-mwanamke-kuvaa-viatu-vya-visigino-virefu/