Inafaa mume kuapa kutomjamii mke?

Swali: Je, inafaa kwa mume kuapa kujitenga na mke wake?

Jibu: Ndio, inafaa akiona manufaa ya kufanya hivo. Lakini asizidishe miezi minne. Kama alivosema Allaah (Ta´ala):

لِّلَّذِينَ يُؤْلُونَ مِن نِّسَائِهِمْ تَرَبُّصُ أَرْبَعَةِ أَشْهُرٍ

“Kwa wale walioapa kujitenga na wake zao wangojee miezi minne.”[1]

[1] 02:226

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24423/هل-يجوز-للمسلم-الايلاء-من-زوجته
  • Imechapishwa: 10/10/2024