Swali: Je, inafaa kutoa Zakaat-ul-Fitwr katika nchi nyingine ambayo hatuishi ndani yake?
Jibu: Bora ni mtu atoe Zakaat-ul-Fitwr katika nchi ambayo mtu anaishi. Hata hivyo hapana vibaya haja ikipelekea kuiagiza [nje ya nchi].
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/4426/ما-حكم-اخراج-زكاة-الفطر-الى-بلد-اخر
- Imechapishwa: 17/06/2022
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket