Swali: Ni ipi hukumu ya dawa yenye alcohol?
Jibu: Ikiwa ndani yake kuna cha kulewesha, haijuzu. Kila chenye alcohol kinacholewesha, sawa ikiwa ni dawa au kingine, hakitumiwi.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://subulsalam.com/play.php?catsmktba=12780
- Imechapishwa: 03/05/2015
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket