Swali: Ipi hukumu ya Uislamu kwa mwenye kuzini na msichana wa baba yake? Je, ni sahihi atahukumiwa kupigwa bakora?

Jibu: Hukumu yake ni ya mzinifu. Ikiwa ni muhswan [kishawahi kuingia katika ndoa] apigwe mawe na kama bado ni bikira [hajawahi kuingia katika ndoa] apigwe bakora mia na [sauti haisikiki]. Kwa kuwa amefanya jarima kubwa tunaomba kinga kwa Allaah.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://subulsalam.com/play.php?catsmktba=12780
  • Imechapishwa: 03/05/2015