Swali: Ni ipi hukumu ya dawa yenye alcohol?

Jibu: Ikiwa ndani yake kuna cha kulewesha, haijuzu. Kila chenye alcohol kinacholewesha, ni mamoja ikiwa ni dawa au kingine, hakitumiwi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://subulsalam.com/play.php?catsmktba=12780
  • Imechapishwa: 19/11/2014