Swali: Ni ipi hukumu ya kumpa mkono wa pole mtu wa Bid´ah kama Shiy´ah wanapofiwa na mtu pamoja na kujua kuwa ni jirani yetu?

Jibu: Kwa kweli hili linahitaji kuangaliwa na kuzingatiwa. Jirani ana haki zake. Ni qadhiya inayohitajia kuangaliwa na mtu kukomeka.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajhiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://subulsalam.com/play.php?catsmktba=11649
  • Imechapishwa: 17/11/2014