Swali: Hijaamah (kuumika) kama aina ya dawa anayeifanya kwa kujitibu anatoka katika Hadiyth ya watu 70.000?

Jibu: Hapana. Hijaamah ni dawa [na haihusiani na kufanyiwa Ruqyah].

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajhiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://subulsalam.com/play.php?catsmktba=11649
  • Imechapishwa: 17/11/2014