Swali: Je, kumtaka Allaah kwa “Yaa”, “Yuu”, “Yaa”, “Yuu” au “Aah”, “Aah” ambazo ndizo Adhkaar za baadhi ya Suufiyyah ni sahihi Kishari´ah na zimeamrishwa au Bid´ah?
Jibu: Hizi ni Bid´ah. Hii ni katika Bid´ah ya Suufiyyah. Ni Bid´ah iliyozushwa. “Huu”, “Huu”, “Huu”, “Allaah”, “Allaah”, “Allaah”, hii ni Bid´ah na munkari. Tasbiyh na Dhikr ni kusema “laa ilaaha illa Allaah” kwa ukamilifu. “Subhaanallaah wal-Hamdulillaah”, hii ndio Dhikr ya Kishari´ah. Ama kusema “Huu”, “Huu” akimaanisha Allaah badala yake anasema “Huu”, “Huu”, “Huu”, haikuwekwa hivi. Au kusema “Allaah”, “Allaah”, “Allaah” haikuwekwa pia hivi. Sema “Allaahu Akbar”, “Laa ilaaha illa Allaah”, hivi ndivyo imewekwa katika Shari´ah. Ama kusema “Allaah”, “Allaah”, “Allaah” haikuwekwa katika Shari´ah bali ni Bid´ah. Hii ni katika Bid´ah ya Suufiyyah ambayo wamezusha. Hali kadhalika “Huu”, “Huu”, “Huu”, wakimaanisha Allaah kwa kusema “Huu”, “Huu”, “Huu”, hii ni Bid´ah na munkari. Lililowekwa katika Shari´ah ni kusema “Subhaanallaah”, “Alhamdulillaah”, “Laa ilaaha illa Allaah”, “Allaahu Akbar”, namna hii ndivyo Mtume (´alayhis-Salaam) alivyowafunza Maswahabah zake. Aliwaambia (´alayhis-Swalaatu was-Salaam):
“Semeni “hapana mwabudiwa wa haki isipokuwa Allaah” mtafaulu”.”
Akasema maneno yanayopendwa sana na Allaah ni mane:
“Subhaanallaah, Alhamdulillaah, laa ilaaha illa Allaah na Allaahu Akbar.”
Akasema tena:
“al-Baaqiyaat-us-Swaalihaat [mema yanayobakia] ni: “Subhaanallaah, Alhamdulillaah, laa ilaaha illa Allaah, Allaahu Akbar na laa hawla wa laa quwwata illa billaah.”
Haya ndiyo yaliyowekwa. Ama yanayofanywa na baadhi ya Suufiyyah na watu wa Bid´ah; “Huu”, “Huu”, “Huu” au “Allaah”, “Allaah”, Allaah”, hii ni Bid´ah na munkari. Ni wajibu wafundishwe.
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://subulsalam.com/play.php?catsmktba=14579
- Imechapishwa: 23/11/2014

Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://subulsalam.com/play.php?catsmktba=14579
Imechapishwa: 23/11/2014
https://firqatunnajia.com/ibn-baaz-kuhusu-adhkaar-za-suufiyyah/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)