Swali: Je, muumini atadumishwa Motoni ikiwa anamwamini Allaah na kadhalika? Ikiwa haswali anazingatiwa kuwa ni muumini?
Jibu: Muumini hatodumishwa Motoni hata kama atafanya dhambi kubwa mbali na kufuru. Akifa kabla ya kufanya tawbah atakuwa chini ya matakwa ya Allaah; akitaka atamuadhibu na mafikio yake ya mwisho itakuwa ni Peponi, na akitaka atamsamehe madhambi yake. Amesema (Ta´ala):
“Hakika Allaah hasamehi kushirikishwa na anasamehe yaliyo chini ya hayo kwa Amtakae.” (04:116)
Mwenye kuacha swalah ni kafiri aliyekufuru kufuru kubwa. Anastahiki kudumishwa Motoni milele kama makafiri wengine.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (1/489)
- Imechapishwa: 24/08/2020
Swali: Je, muumini atadumishwa Motoni ikiwa anamwamini Allaah na kadhalika? Ikiwa haswali anazingatiwa kuwa ni muumini?
Jibu: Muumini hatodumishwa Motoni hata kama atafanya dhambi kubwa mbali na kufuru. Akifa kabla ya kufanya tawbah atakuwa chini ya matakwa ya Allaah; akitaka atamuadhibu na mafikio yake ya mwisho itakuwa ni Peponi, na akitaka atamsamehe madhambi yake. Amesema (Ta´ala):
“Hakika Allaah hasamehi kushirikishwa na anasamehe yaliyo chini ya hayo kwa Amtakae.” (04:116)
Mwenye kuacha swalah ni kafiri aliyekufuru kufuru kubwa. Anastahiki kudumishwa Motoni milele kama makafiri wengine.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (1/489)
Imechapishwa: 24/08/2020
https://firqatunnajia.com/huyu-atadumishwa-motoni-milele-kama-makafiri/