Huu sio Ujasusi, bali ni kumchunga mwanamke

Swali: Je, inajuzu kufanyia ujasusi wanafamilia kama mfano wa dada na mke ili kuwalinda na kuangalia wanayoyaficha kwenye vyombo vyao wanavyobeba…

Jibu: Huku sio kufanya ujasusi. Huku ni kuwachunga. Ni kuwachunga na ni kuwahifadhi. Sio ujasusi. Ujasusi haujuzu:

وَلَا تَجَسَّسُوا

“Na wala msipelelezane.” (49:12)

Huku ni kuchunga. Huku ni kumchunga mwanamke ili kumhifadhi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Kitaab Ahaadiyth-il-Fitnah (2) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ftn–1432-08-16.mp3
  • Imechapishwa: 21/04/2015