Swali: Najua kuwa kwenye masoko kuna fitina kubwa. Hata hivyo, afanye nini mwanamke wakati anapotaka kutekeleza haja na kununua mahitajio yake?

Jibu: Ajihifadhi. Ndio, ni kweli kuwa masoko yana maovu na fitina nyingi. Mwanamke akihitajia kutoka ajihifadhi, ajiepushe na mapambo, ajiepushe na manukato, ajisitiri, ajiepushe na kuchanganyika na wanaume na atahadhari na fitina. Kwa haya Allaah Atamsitiri.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Kitaab Ahaadiyth-il-Fitnah (2) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ftn–1432-08-16.mp3
  • Imechapishwa: 21/04/2015