Swali: Hadiyth iliyothibiti kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) inayoruhusu kusema uongo wakati wa kuleta suluhu kati ya watu wawili na mume kumdanganya mke wake. Je, makusudio ni uongo wa waziwazi au ni uongo wa kupindishapindisha?
Jibu: Kinachokusudiwa ni yale yanayofanya kufikia natija nzuri na yenye faida. Katika hali hii inafaa.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (68) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/27-06-1438h.mp3
- Imechapishwa: 16/07/2017
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket