Swali: Kuna watu wenye kusema kuwa inajuzu kusema uongo juu ya manufaa ya Da´wah. Je, maneno haya ni sahihi?

Jibu: Da´wah inakataza uongo. Ni vipi utakuwa ni manufaa ya Da´wah?

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (68) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/27-06-1438h.mp3
  • Imechapishwa: 16/07/2017