Swali: Ni yapi mafikio ya majina Aakhirah, waislamu na wale makafiri?

Jibu: Wataingia Motoni. Ama kuingia Pepo, hapa wanachuoni wametofautiana. Kuhusiana na Motoni wameafikiana juu ya kwamba wale makafiri wataingia Motoni.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (41) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-3-15.mp3
  • Imechapishwa: 20/08/2020