Swali: Ni yapi mafikio ya majina Aakhirah, waislamu na wale makafiri?
Jibu: Wataingia Motoni. Ama kuingia Pepo, hapa wanachuoni wametofautiana. Kuhusiana na Motoni wameafikiana juu ya kwamba wale makafiri wataingia Motoni.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (41) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-3-15.mp3
- Imechapishwa: 20/08/2020
Swali: Ni yapi mafikio ya majina Aakhirah, waislamu na wale makafiri?
Jibu: Wataingia Motoni. Ama kuingia Pepo, hapa wanachuoni wametofautiana. Kuhusiana na Motoni wameafikiana juu ya kwamba wale makafiri wataingia Motoni.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (41) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-3-15.mp3
Imechapishwa: 20/08/2020
https://firqatunnajia.com/hukumu-ya-majini-makafiri-aakhirah/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket