Swali: Je, kutupa Qur-aan ni kufuru au itatokana na nia ya alofanya hivo?

Jibu: Ikiwa Qur-aan imemponyoka hana juu yake kitu. Lakini akiitupa kwa ajili ya kuudhalilisha, kitendo hichi kinazingatiwa kuwa ni kuritadi.

  • Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Imechapishwa: 11/04/2015