Swali: Maneno ya Allaah (Ta´ala):
وَرَفَعْنَا لَكَ ذِكْرَكَ
“Tukanyanyulia juu utajo wako.” (94:04)
Katika baadhi ya misikiti kumeandikwa ifuatavyo:
“Allaah”
upande wa kulia.
“Muhammad”
upande wa kushoto.
Je, kitendo hichi kinajuzu?
Jibu: Kimekatazwa. Maana ya kitendo hichi ina maana kuwa Mtume ni sawa na Allaah (Jalla wa ´Alaa). Huku ni kumuweka sawa Mtume na Allaah. Ni muonekano mbaya. Kitendo hichi kinaweza kuzalisha I´tiqaad chafu.
Msingi kuandika msikitini kwa dhati yake ni jambo limekatazwa. Tusemeje pale ambapo jambo hilo ndani yake kutakuwa na maana mbaya? Ni wajibu kuiondosha.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (74) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-10-28.mp3
- Imechapishwa: 22/08/2020
Swali: Maneno ya Allaah (Ta´ala):
وَرَفَعْنَا لَكَ ذِكْرَكَ
“Tukanyanyulia juu utajo wako.” (94:04)
Katika baadhi ya misikiti kumeandikwa ifuatavyo:
“Allaah”
upande wa kulia.
“Muhammad”
upande wa kushoto.
Je, kitendo hichi kinajuzu?
Jibu: Kimekatazwa. Maana ya kitendo hichi ina maana kuwa Mtume ni sawa na Allaah (Jalla wa ´Alaa). Huku ni kumuweka sawa Mtume na Allaah. Ni muonekano mbaya. Kitendo hichi kinaweza kuzalisha I´tiqaad chafu.
Msingi kuandika msikitini kwa dhati yake ni jambo limekatazwa. Tusemeje pale ambapo jambo hilo ndani yake kutakuwa na maana mbaya? Ni wajibu kuiondosha.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (74) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-10-28.mp3
Imechapishwa: 22/08/2020
https://firqatunnajia.com/huku-ni-kumlinganisha-allaah-na-mtume/