Kwa yule ambaye amebainikiwa kukosea kwa kiongozi katika baadhi ya mambo anatakiwa kumnasihi. Hata hivyo asimkaripie mbele za watu. Bali kama ilivyopokelewa katika Hadiyth amshike mkono wake na akae naye chemba na ampe nasaha na asimdhalilishe mtawala wa Allaah.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin ´Aliy ash-Shawkaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Hujj al-Qawiyyah ´alaa Wujuub-id-Difaa´ ´an-id-Dawlah as-Su´uudiyyah, uk. 43
- Imechapishwa: 31/03/2024
Kwa yule ambaye amebainikiwa kukosea kwa kiongozi katika baadhi ya mambo anatakiwa kumnasihi. Hata hivyo asimkaripie mbele za watu. Bali kama ilivyopokelewa katika Hadiyth amshike mkono wake na akae naye chemba na ampe nasaha na asimdhalilishe mtawala wa Allaah.
Muhusika: Imaam Muhammad bin ´Aliy ash-Shawkaaniy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Hujj al-Qawiyyah ´alaa Wujuub-id-Difaa´ ´an-id-Dawlah as-Su´uudiyyah, uk. 43
Imechapishwa: 31/03/2024
https://firqatunnajia.com/hivi-ndivo-anavyotakiwa-kunasihiwa-mtawala/