Swali: Sisi ni wanafunzi zako wa kifaransa. Kama unavojua Ufaransa sasa inataka kupiga kura. Je, inafaa kwetu kumpigia kura mgombea ambaye tunaona shari zake ni chache zaidi kwa waislamu?

Jibu: Sijui. Sina jibu juu ya swali hili. Kitendo tu cha waislamu kuishi katika nchi za makafiri na chini ya hukumu za kikafiri hilo ni tatizo; wanaacha kuhajiri na wanahukumiwa kwa hukumu za makafiri. Ni jambo zito.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?app=desktop&v=groQ1O1XXWA
  • Imechapishwa: 18/08/2022