Hesabu ya ni lini mbuzi na kondoo wanaanza kutolewa zakaah

Swali: Nilikuwa namiliki mbuzi. Baada ya miaka minane wakafikia kile kiwango ambacho ni cha lazima (النصاب). Nitawatolea zakaah wakati gani?

Jibu: Baada ya kufikiwa na kile kiwango cha lazima[1].

[1] Imaam Ibn Qudaamah (Rahimahu Allaah) amesema:

“Wataanza kutolewa zakaah pale wanapokuwa arobaini. Katika hali hiyo watatolewa mbuzi jike mmoja mpaka pale watapofikia mbuzi mia na ishirini.” (´Umdat-ul-Fiqh (1/180))

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Imechapishwa: 28/04/2021