Swali: Kuna sababu ipi ya nyama ya ngamia kuchengua wudhuu´?
Jibu: Allaah ndiye mjuzi zaidi. Allaah (Jall wa ´Alaa) ndiye anajua zaidi. Yeye ni Mwenye kurehemu, Mwingi wa hekima. Haamrishi isipokuwa kwa kitu kilicho na hekima na wala hakatazi isipokuwa kwa kitu kilicho na hekima (Subhaanah):
إِنَّ رَبَّكَ حَكِيمٌ عَلِيمٌ
”Hakika Mola wako ni Mwingi wa hekima, Mjuzi wa yote.”[1]
Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Tawadheni kwa nyama ya ngamia na wala msitawadhe kwa nyama ya kondoo.”
Haya yalisemwa na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) wakati alipoulizwa:
”Tutawadhe kwa nyama ya ngamia?”
Akajibu:
”Ndio.”
Wakauliza tena:
”Tutawadhe kwa nyama ya kondoo?”
Akasema:
”Ukitaka.”
Tumetosheka kwamba Mtume ametuamrisha kutawadha. Haya yanatutosha. Kuhusu hekima Allaah ndiye mjuzi zaidi.
[1] 06:83
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa ad-Duruus https://binbaz.org.sa/fatwas/3768/%D9%85%D8%A7-%D8%A7%D9%84%D8%B9%D9%84%D8%A9-%D9%81%D9%8A-%D9%86%D9%82%D8%B6-%D9%84%D8%AD%D9%85-%D8%A7%D9%84%D8%A7%D8%A8%D9%84-%D8%A7%D9%84%D9%88%D8%B6%D9%88%D8%A1
- Imechapishwa: 06/03/2020
Swali: Kuna sababu ipi ya nyama ya ngamia kuchengua wudhuu´?
Jibu: Allaah ndiye mjuzi zaidi. Allaah (Jall wa ´Alaa) ndiye anajua zaidi. Yeye ni Mwenye kurehemu, Mwingi wa hekima. Haamrishi isipokuwa kwa kitu kilicho na hekima na wala hakatazi isipokuwa kwa kitu kilicho na hekima (Subhaanah):
إِنَّ رَبَّكَ حَكِيمٌ عَلِيمٌ
”Hakika Mola wako ni Mwingi wa hekima, Mjuzi wa yote.”[1]
Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Tawadheni kwa nyama ya ngamia na wala msitawadhe kwa nyama ya kondoo.”
Haya yalisemwa na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) wakati alipoulizwa:
”Tutawadhe kwa nyama ya ngamia?”
Akajibu:
”Ndio.”
Wakauliza tena:
”Tutawadhe kwa nyama ya kondoo?”
Akasema:
”Ukitaka.”
Tumetosheka kwamba Mtume ametuamrisha kutawadha. Haya yanatutosha. Kuhusu hekima Allaah ndiye mjuzi zaidi.
[1] 06:83
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa ad-Duruus https://binbaz.org.sa/fatwas/3768/%D9%85%D8%A7-%D8%A7%D9%84%D8%B9%D9%84%D8%A9-%D9%81%D9%8A-%D9%86%D9%82%D8%B6-%D9%84%D8%AD%D9%85-%D8%A7%D9%84%D8%A7%D8%A8%D9%84-%D8%A7%D9%84%D9%88%D8%B6%D9%88%D8%A1
Imechapishwa: 06/03/2020
https://firqatunnajia.com/hekima-ya-kutawadha-kwa-kula-nyama-ya-ngamia/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)