Swali: Madhambi yameenea kati ya watu. Je, inahesabika ni katika udhaifu wa Tawhiyd kwa watu?
Jibu: Ndio. Ambaye yuko na imani dhaifu ndio hufanya maasi. Akiwa na imani yenye nguvu hujitenga mbali na maasi. Hakuna anayeenda kufanya maasi isipokuwa yule ambaye imani yake ni dhaifu, ujuzi wake na ucha mungu wake ni mdogo.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Kashf-ish-Shubuhaat, uk. 96
- Imechapishwa: 21/12/2016
Swali: Madhambi yameenea kati ya watu. Je, inahesabika ni katika udhaifu wa Tawhiyd kwa watu?
Jibu: Ndio. Ambaye yuko na imani dhaifu ndio hufanya maasi. Akiwa na imani yenye nguvu hujitenga mbali na maasi. Hakuna anayeenda kufanya maasi isipokuwa yule ambaye imani yake ni dhaifu, ujuzi wake na ucha mungu wake ni mdogo.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Kashf-ish-Shubuhaat, uk. 96
Imechapishwa: 21/12/2016
https://firqatunnajia.com/hawa-ndio-hufanya-maasi/