Swali: Kabla ya kufanya jimaa na mke ambaye ni mjamzito mume aombe du´aa ifuatayo:

بسم الله اللهم جَنِّبْنَا الشَّيْطَانَ وَجَنِّبِ الشَّيْطَانَ مَا رَزَقْتَنَا

“Kwa jina la Allaah. Ee Allaah! Tulinde na shaytwaan na kilinde na shaytwaan kile unachoturuzuku.”?

Jibu: Ndio. Amwombe Allaah ailinde mimba hii kutokana na shaytwaan. Hapana vibaya, ni vizuri.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (38)
  • Imechapishwa: 25/06/2023