Swali: Kuvaa hariri.
Swali: Haijuzu kwa wanaume kuvaa hariri. Hata hivyo inafaa kwa wanawake peke yao.
Swali: Hariri iliyochanganywa?
Jibu: Wanaume inafaa vidole visivyozidi vinne. Ni sawa ikiwa ni kiwango cha vidole visivyozidi vinne, kama mfano wa kutia kiraka na vitufe, kwa msemo mwingine sehemu kidogo.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23297/حكم-لبس-الحرير-للرجال-وما-يجوز-منه
- Imechapishwa: 22/12/2023
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket
Related
Hekima ya wanaume kuhalalishiwa hariri sawa na vidole vinne
Swali: Ni ipi sababu ya kuhalalishwa hariri kiasi cha vidole visivyozidi vinne? Jibu: Kwa sababu mtu anaweza kuhitajia kwa ajili ya kuweka kiraka, kitufe na kadhalika. Ni katika rehema ya Allaah. Haya ni katika wepesi wa Allaah (Jalla wa ´Alaa).
In "Mavazi"
104. Wanaume kujipamba kwa nguo nzuri kabisa siku ya ´iyd
Ni Sunnah kwa wanaume kujipamba na kuvaa mavazi yake mazuri kabisa. al-Bukhaariy amepokea katika “as-Swahiyh” yake kupitia kwa ´Abdullaah bin ´Umar (Radhiya Allaahu ´anhumaa) aliyesimulia: “´Umar alichukua hariri nyororo – ambayo ilikuwa inauzwa sokoni – akaja nayo kwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na kusema: “Ee Mtume…
In "Majaalis Shahr Ramadhwaan - Ibn ´Uthaymiyn"
Kuwauzia hariri safi wanaume
Swali: Vipi uuzaji wa kitambaa cha hariri safi kwa wanaume waislamu? Jibu: Akinunua kwa ajili ya mke wake au wasichana zake, haina shida. Lakini yeye asikivae.
In "Bidhaa za biashara"