Hapana shaka huyu ni mwanafunzi

Swali: Anayehudhuria mizunguko ya kielimu, mihadhara na semina anazingatiwa kuwa ni mwanafunzi?

Jibu: Hapana shaka. Hapana shaka kuwa ni mwanafunzi.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23099/هل-يعد-طالب-علم-من-يحضر-حلقات-العلم
  • Imechapishwa: 02/11/2023