Swali: Ni lini inajuzu kujumuisha kati ya swalah mbili kwa sababu ya mvua?
Jibu: Ni pale nguo zinalowa kwa sababu ya mvua. Akitoka nguo zinalowa. Hii ndio mvua ambayo inajuzisha kujumuisha baina ya swalah. Ama mvua ndogo tu haijuzishi kujumuisha swalah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340204.mp3
- Imechapishwa: 25/08/2020
Swali: Ni lini inajuzu kujumuisha kati ya swalah mbili kwa sababu ya mvua?
Jibu: Ni pale nguo zinalowa kwa sababu ya mvua. Akitoka nguo zinalowa. Hii ndio mvua ambayo inajuzisha kujumuisha baina ya swalah. Ama mvua ndogo tu haijuzishi kujumuisha swalah.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340204.mp3
Imechapishwa: 25/08/2020
https://firqatunnajia.com/hapa-ndipo-itajuzu-kujumuisha-swalah-kwa-sababu-ya-mvua/