Swali: Anahesabika kuwa Muislamu yule anayetoa zakaah lakini hata hivyo akawa haswali?
Jibu: Hapana. Swalah ndio mama wa Uislamu. Zakaah yake haikubaliwi wala matendo yake mengine yote mpaka asimamishe swalah. Hana fungu katika Uislamu yule mwenye kuacha swalah.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (76) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-11-12.mp3
- Imechapishwa: 22/08/2020
Swali: Anahesabika kuwa Muislamu yule anayetoa zakaah lakini hata hivyo akawa haswali?
Jibu: Hapana. Swalah ndio mama wa Uislamu. Zakaah yake haikubaliwi wala matendo yake mengine yote mpaka asimamishe swalah. Hana fungu katika Uislamu yule mwenye kuacha swalah.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (76) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-11-12.mp3
Imechapishwa: 22/08/2020
https://firqatunnajia.com/hana-fungu-katika-uislamu-mwenye-kuacha-swalah/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)